Chama cha Mawakili nchini Uganda(ULS) chalaani kupigwa risasi Rais wa TLS Tundu Lissu

Chama cha Mawakili nchini Uganda(ULS) chalaani kupigwa risasi Rais wa TLS Tundu Lissu

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Chama cha Mawakili nchini Uganda(ULS), chalaani vikali tukio la kupigwa risasi Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Lissu.

- Mbunge huyo wa Singida Mashariki alishambuliwa kwa risasi na watu ambao mpaka sasa bado hawajafahamika. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
 
Back
Top Bottom