Chama cha Mawakili nchini Uganda(ULS), chalaani vikali tukio la kupigwa risasi Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Lissu.
- Mbunge huyo wa Singida Mashariki alishambuliwa kwa risasi na watu ambao mpaka sasa bado hawajafahamika. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.