Uchaguzi 2020 Chama Cha NCCR-Mageuzi kuzindua kampeni Jumamosi tar.5/9/2020 Mbagala Zakhiem

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Chama kikongwe Nchini na maarufu kwa mchakato wa Katiba kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumamosi hii jijini Dar es salaam kwa Kishindo kikubwa Sana. Wadau wote mnakaribishwa. Mimi sio msemaji wa chama Ila mdau wa MABADILIKO.

DON NALIMISON
Simu Na: 0682 94 29 01.

 
Wewe jamaa ni mkali Sana wanamuziki wote wa Bongo watasubiri sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…