LGE2024 Chama cha NLD chaipongeza CCM kwa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Serikali za mitaa

LGE2024 Chama cha NLD chaipongeza CCM kwa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂

Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa.

Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024


 
Ukishindwa shindika hao wamekubali yaishe tusiwapangie cha kufanya.
 
namuona maalim Doyo. tumemis qiraa chake aisee. huyu jamaa akikupigia ya 18 al kahf zile za mwisho mwisho ndio utamjua
 
Back
Top Bottom