Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 30, 2024 #1 Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Your browser is not able to display this video.
Messenger RNA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 1,411 Reaction score 3,712 Nov 30, 2024 #2 Ukishindwa shindika hao wamekubali yaishe tusiwapangie cha kufanya.
Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,325 Reaction score 7,807 Nov 30, 2024 #3 Bila shaka watakuwa wamehaidiwa kupewa Jimbo au madiwani
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,362 Reaction score 48,879 Nov 30, 2024 #4 Gulio Tanzania said: Bila shaka watakuwa wamehaidiwa kupewa Jimbo au madiwani Click to expand... Hawana cha jimbo wala kata, hao huwa wanapewa tu hela na kuandikiwa cha kwenda kusema.
Gulio Tanzania said: Bila shaka watakuwa wamehaidiwa kupewa Jimbo au madiwani Click to expand... Hawana cha jimbo wala kata, hao huwa wanapewa tu hela na kuandikiwa cha kwenda kusema.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Nov 30, 2024 #5 Njaa hupelekea mtu kuwa mtumwa!.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Nov 30, 2024 #6 Ndio uungwana
julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,081 Reaction score 4,224 Nov 30, 2024 #7 namuona maalim Doyo. tumemis qiraa chake aisee. huyu jamaa akikupigia ya 18 al kahf zile za mwisho mwisho ndio utamjua
namuona maalim Doyo. tumemis qiraa chake aisee. huyu jamaa akikupigia ya 18 al kahf zile za mwisho mwisho ndio utamjua