Pre GE2025 Chama cha NLD chatangaza kushiriki Uchaguzi Mkuu. Katibu atangaza chama kitagawa fomu bure kwa wataotaka kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Aidha chama hicho kimetangaza neema kwa wagombea wanawake, kuwa hawatotoa ada yoyote wakati wa kuchukua fomu,lengo ni kuwapa fursa ya kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi.

Akizungumza mapema leo na waandishi wa Habari, Katibu mkuu wa NLD Taifa ,Doyo Hassan Doyo, amesema,chama hicho kimelenga kusimamisha wagombea katika majimbo yote ya Uchaguzi kuanzia Udiwani,Ubunge pamoja na nafasi ya Rais,

"Chama chetu kitashiriki Uchaguzi Mkuu,hivyo kwakutambua hilo,leo tunatangaza rasmi kuwa ,chama kimefungua milango ya kuanza mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais,hivyo watu wote wenye sifa wanakaribishwa kushiriki,ili ukidhi sifa ya kushiriki mchakato huu ni lazima uwe Mwanachama hai wa Chama chetu," aliongeza Doyo

Doyo alisema kuwa, kwaupande wa wagombea Wanawake hawatolipa ada yoyote wakati wa mchakato wa kuchukua fomu,

"Chama chetu,kwa mapenzi mema kabisa,na kwakuona umuhimu wa akinamama,tumeamua kuwa, wanawake wote watakaojitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama chetu,hawatolipa ada yoyote ya fomu,hii itasaidia kuongeza hamasa na kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais" Alisisitiza Doyo

Aliongeza kuwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho Februari 23, mwaka huu,chama hicho kilianzimia kuwa kabla ya Uchaguzi Mkuu ni lazima kufanyike mikutano ya hadhara na ndani ili kupata wagombea wenye uwezo pamoja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi 'INEC' nilazima iweke wasimamizi wa Uchaguzi wenye weledi, ili uchaguzi uwe huru na haki.

"Katika kikao chetu cha hivi karibuni, chama chetu kiliazimia kuwa ni lazima tufanye mikutano ya hadhara kwakipindi hiki ili tupate wagombea wenye uwezo,lakini pia kwa upande wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi 'INEC' ni lazima iweke wasimamizi wa Uchaguzi wenye weledi ili Uchaguzi uwe huru na haki,na usiwe na dosari," alisisitiza Doyo

nld chama.png

Source: Nipashe
 
Hawa ndo wale jamaa waliitwa na TISS Pale Millenium towers na kupewa pesa ili wayakane maandamano.
Baada ya maandamano walipewa mtonyo
 
Ndio vyama vya kwenye flash ?
 
RUZUKU RUZUKU RUZUKU, Wamesha anza kupanga mgao
 
Matapeli hawaaaa uwasikiiii mpaka uchaguzini shetwaaani wahead pambafuu manyoyaaa na njaa zenuu
 
Leo ndiyo nimesikia kuwa kuna Chama kinaitwa NLD. Nawatakia kilala heri.
 
Nimefungua thread nikifikiri ni chama cha Angola au Msumbiji uko kumbe ni hapa hapa bongo. Ndio nakisikia leo hicho chama
 
Hawa ndo wale jamaa waliitwa na TISS Pale Millenium towers na kupewa pesa ili wayakane maandamano.
Baada ya maandamano walipewa mtonyo
Ukiwa unaamini kila jirani yako unayetofautiana nae ni mchawi, basi jua mchawi ni wewe! Ahahahahaha!!
 
Mazingaombwe yameanza na tulijua haya yatatokea. Eti watasimamisha wagombe katika majimbo yote, kwa ubavu upi kama sio njaa na unafiki uliopindukia.
Hata Chadema HAIJAWAHI kusimamisha wagombea kata zote za udiwani na majimbo yote ingawa miaka yote malengo yao ni hayo. Kwahiyo usiwalaumu.
 
Wakuu,

CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Aidha chama hicho kimetangaza neema kwa wagombea wanawake, kuwa hawatotoa ada yoyote wakati wa kuchukua fomu,lengo ni kuwapa fursa ya kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi.

Akizungumza mapema leo na waandishi wa Habari, Katibu mkuu wa NLD Taifa ,Doyo Hassan Doyo, amesema,chama hicho kimelenga kusimamisha wagombea katika majimbo yote ya Uchaguzi kuanzia Udiwani,Ubunge pamoja na nafasi ya Rais,

"Chama chetu kitashiriki Uchaguzi Mkuu,hivyo kwakutambua hilo,leo tunatangaza rasmi kuwa ,chama kimefungua milango ya kuanza mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais,hivyo watu wote wenye sifa wanakaribishwa kushiriki,ili ukidhi sifa ya kushiriki mchakato huu ni lazima uwe Mwanachama hai wa Chama chetu," aliongeza Doyo

Doyo alisema kuwa, kwaupande wa wagombea Wanawake hawatolipa ada yoyote wakati wa mchakato wa kuchukua fomu,

"Chama chetu,kwa mapenzi mema kabisa,na kwakuona umuhimu wa akinamama,tumeamua kuwa, wanawake wote watakaojitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama chetu,hawatolipa ada yoyote ya fomu,hii itasaidia kuongeza hamasa na kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais" Alisisitiza Doyo

Aliongeza kuwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho Februari 23, mwaka huu,chama hicho kilianzimia kuwa kabla ya Uchaguzi Mkuu ni lazima kufanyike mikutano ya hadhara na ndani ili kupata wagombea wenye uwezo pamoja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi 'INEC' nilazima iweke wasimamizi wa Uchaguzi wenye weledi, ili uchaguzi uwe huru na haki.

"Katika kikao chetu cha hivi karibuni, chama chetu kiliazimia kuwa ni lazima tufanye mikutano ya hadhara kwakipindi hiki ili tupate wagombea wenye uwezo,lakini pia kwa upande wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi 'INEC' ni lazima iweke wasimamizi wa Uchaguzi wenye weledi ili Uchaguzi uwe huru na haki,na usiwe na dosari," alisisitiza Doyo

Source: Nipashe
Kuna vitu kuumiza vichwa ,ila asili ya vyama hivi vya kijinga
 
Back
Top Bottom