Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
NCCR Mageuzi yaani National Convention for Reconstruction and Reform- Mageuzi ndio kilikuwa chama strong na chenye siasa za ukweli, kiliweza kuipa changamoto CCM sana.
Kilikuwa na wasomi waliobobea, akina Dkt Masumbuko Lamwai, Prof Abdulrahman Babu, Mabere Nyaucho Marando, Prince Bagenda, Dkt Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, nawataja hao wachache t.
Sio hiki chama cha Mbowe na chawa wake Godls Lema.
Chama gan ukitaka kushindana na Mbowe tu wewe ni adui.
Hapo Mchungaji Msigwa hajafunguka, kama mlipanga kuharibu nchi tutajua kwani vikao vyote nilishiriki.
Kama mna wafadhili wanawafadhili huko nje ili mharibu amani hapa nchini, mmenoa.
PIA SOMA
- Zembwela: Mchungaji Msigwa leo ndio anaiona Chadema ni Saccos ya mtu mmoja baada ya kushindwa kutetea cheo chake Kanda ya Nyasa