Ukishaanza kuchangia unakua disqualified kuwa bahili inabidi hiyo hela ya mchango uisikilizie kwanza ukiipata ndio uchangiengoja nianze kuchangia
natoa sh 500/=
muda si mrefu mchongo unatiki mkuuMuache achangie,Labda mchongo umetiki boss
Upo wapi mzee nije kuchukua PoshoUmaskini sio sifa.kuleni maisha ndugu zangu maisha yenyewe mafupi haya..dj weka maneno weka mziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu imeshindikana nini kuongea na hao wanaosajili ili watupunguzie angalau ishushwe ifike 10000.. si tunakamati kabisa ya madalali wanaojua kushawishi! Kusema kweli hiyo ishirini hatulipi labda Kama mwenyekiti kakichoka chama tutateua mwengine! Hatuwezi lipa hiyo hela na wakati tunaweza kusave elfu kumi kwa kutumia nyenzo za ushawishi uzuri kiongozi wa kamati ya ushawishi yupo vizuri sasa tusisumbuane.. uongozi uliopo ukizubaa kwenye hili tunawatoa chamani 20000 kubwa bhana alaaa..😎Chama Cha UMOJA wa wanaume bahiri Tanzania(UWABATA) tumekosea kusajiliwa rasmi na kutambukika kisharia kwasababu ya ukosefu wa tsh 20,000 tu.
Chama bado kinashughukia hili suala kwa ukaribu zaidi.
Mwenyekiti
UWABATAView attachment 1696882