Ngai Moko JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,301 Reaction score 1,738 Feb 11, 2021 #21 Wajomba nimepata ugali kwa mshikaji ila hauna mboga, mwenye buku anisaidie nikanunue mboga
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Feb 11, 2021 #22 Tulia kuna hera tunaisikilizia
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 3,832 Reaction score 11,964 Feb 11, 2021 #23 Poa mwana anza kula kwanza naenda kukopa kwa mama kwambi dagaaa labda atatupa Ngai Moko said: Wajomba nimepata ugali kwa mshikaji ila hauna mboga, mwenye buku anisaidie nikanunue mbpga Click to expand...
Poa mwana anza kula kwanza naenda kukopa kwa mama kwambi dagaaa labda atatupa Ngai Moko said: Wajomba nimepata ugali kwa mshikaji ila hauna mboga, mwenye buku anisaidie nikanunue mbpga Click to expand...