Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga Chasitisha Mgomo

Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga Chasitisha Mgomo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini (KAWU) kimesitisha mgomo wake ili kutoa mwanya wa maazimio ya utaratibu kuhusu mkwamo unaoendelea kati ya Chama cha Marubani wa Ndege za Kenya (KALPA) na Shirika la Ndege la Kenya (KQ)

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga (KAWU), Moss Ndiema amesema wamefikia hatua hiyo ili kuruhusu KALPA kumaliza mizozo yao na usimamizi wa KQ na serikali ili kuepusha kuharibika zaidi kwa shughuli za uwanja wa ndege

Mnamo Novemba 5, 2022, Marubani 400 wa Shirika la Ndege la KQ waligoma wakipinga kile walichokitaja kama kupuuzwa kwa malalamiko yao, na kusababisha takriban abiria 10,000 kuathirika



…………….


Kenya Aviation Workers Union calls off strike
KAWU Secretary General Moses Ndiema (C) alongside his colleagues before addressing the press on November 6, 2022

KAWU Secretary General Moss Ndiema said that they opted to suspend their action to allow KALPA iron out their disputes with both KQ's management and the government to avoid a further impairment of airport operations.

400 KQ pilots downed their tools on Saturday , protesting what they termed as neglect of their grievances, which saw about 10,000 passengers affected.

The Kenya Aviation Workers Union (KAWU) has called off its strike to pave way for orderly resolutions on the ongoing stalemate between the the Kenya Airline Pilots Association (KALPA) and Kenya Airways (KQ).
This as 400 KQ pilots downed their tools on Saturday , protesting what they termed as neglect of their grievances, which saw about 10,000 passengers affected.

Speaking on Sunday, KAWU Secretary General Moss Ndiema said that they opted to suspend their action to allow KALPA iron out their disputes with both KQ's management and the government to avoid a further impairment of airport operations.

"We will wait until the issue between KALPA and KQ is resolved so that we don't create confusion, that is why we suspended our action yesterday," he said.

"We called off our action with immediate effect and it will allow all other flights to be facilitated. The only affected airline is KQ. If we had gone ahead and downed tools then this airport would have been closed because all departments would have been grounded."


Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom