Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Habari wana JF!!
Hii serikali changanya na hawa madaktari wote wametuweka pabaya wale ambao afya zetu zimeyumba kidogo.
Kwa pamoja tushirikiane tuanzishe chama cha kutetea wagonjwa maana kati yao hakuna anayekumbuka maslahi ya mgonjwa wote wanajali ya kwao tu si serikali wala madaktari!!!!
Hebu jiulize, mgonjwa anatetewa na nani???? Hata maslahi yakiboreshwa ile tabia ya kitu kidogo itaachwa??? Watajituma kuokoa maisha yetu???
Chama cha kutetea wagonjwa kinahitajika sasa!!!
Nawasilisha