GE2025 Chama cha Wakulima(AAFP) kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 31, 2025, Kisaki Morogoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Chama cha Wakulima(AAFP) kinatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni zake za uchaguzi mkuu mwaka huu siku ya Agosti 31

Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho Kunje Ngombale Mwiru ni kuwa uzinduzi huo unatarajiwa kufanyikia katika kijiji cha Kisaki Mvomero mkoani Morogoro

Chama hicho kimeeleza kuwa kimeamua kuzindulia kampeni zake kijijini Kisaki ili kuwafikia walengwa wao namba moja ambao ni wakulima na kisha kwenye masoko.

​
 
Chanzo: EATV
 
Sura utazani sungu sungu wa sokoni huyo mgombea u raisi
 
Kwenye nchi yetu vyama vya siasa vilipaswa viwe vitatu tu...
 
Kundi la vyama wasindikizaji tu. Mtuletee nyomi yao ya uzinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…