Chama cha Wakulima na Wafanyakazi

Chama cha Wakulima na Wafanyakazi

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,263
CCM ni chama ambacho kimejitanabaisha kuwa ni chama cha wakulima na wafanya kazi hata nembo yake ni jembe na nyundo.

Mimi nachelea kuwaongezea kuwa ni chama cha wafanyabiashara pia.

Swali langu ni, je kwa miaka minne iliyopita ni kada ipi imefaidi zaidi na ccm kati ya Wakulima, Wafanyakazi na Wafanyabiashara?

Kama watanzania wamegawanyika katika shughuli hizo, je uchaguzi ukifanyika ni yupi kati ya hao anafuraha ya kuchagua CCM?

Tukikumbula awamu zilizopita hasa ya Kikwete Wakulima, Wafanyakazi na Wafanyabiashara wote walikua wanacheka lkn kwa sasa ni mnuno hasa

Nakaribisha mtazamo tofauti!!
 
Hakuna alofaidi..tunaishi kwa kutegemeana...labda walofaidi ni Wabunge na madiwani malaya malaya
 

Attachments

  • IMG-20200305-WA0022.jpg
    IMG-20200305-WA0022.jpg
    45.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom