Chama cha walimu chama walimu!!!!!! Msaidieni haki za mwalimu huyu e sanga wa s/m iliyopo makambako

mumagoma

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
186
Reaction score
95
ndugu zangu walimu na chama cha walimu cwt,kuna mwalimu shule moja iliopo makambak0 anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la mauaji,taarifa zilizotufikia toka kwa wana familia Wake zinasema akiwa katika kutekeleza majukumu yake kama ilivyo desturi wanafunzi wakiKUTWA na INATAKIWA uwaadhibu ili kuwakanya wasirudie,siku hiyo haikuwa njema kwa mwal e sanga ambaye mpaka hivi ninavyo sema yupo kwenye MAGEREZA LA MKOA NJOMBE;ALIMWADHIBU mwanafunzi ambaye kwa sasa ni marehemu ,inasemekana huyo mwanafunzi alikufa siku tatu baadae baada ya adhabu ndipo wazazi walikuja juu ktk suala hilo,lakini SHERIA ZINASEMAJE,MTUMISHI WA UMMA AKITENDA KOSA bila kukusudiwa AKIWA KWENYE MUDA WA KAZI mwajiri anatakiwa amkingie kifua kumsaidia maana hajakusudial huyu kama mjuavyo siku hizi watu tunatembea roho zimekufa naamini mwanafunzi yule ilikuwa siku yake mungu amtwae,ninaomba wazazi mumsamehe mwalimuhuyu,cwt tumieni busara zenu kumsaidia mwal huyu,MKURUGENZI msaidie mwajiriwa wako nategemea tutamsaidia mwal huyu E SANGA
 
Wazazi ndio wanao husika 100% kumsamehe huyo mwalimu, serikali ikiingilia kati na kumwachia itakuwa shughuli, maana nnawafaham kidogo wakazi wa Makambako.
 
huyo mwalimu hachomoki anapaswa ahukumiwe kwa kesi mauaji ya kukusudia(murder) chini ya sect.196 ya kanuni za adhabu ili iwe fundisho kwa walimu wengine wenye tabia za kuwashushia mvua ya viboko watoto wadogo. inasikitisha sana mpaka mwanafunzi anakufa,nakumbuka mwalimu yule alikuwa kamtandika hadi kichwa mtoto yule according to media, naomba mbali kesi ya mauaji mawakili wa serikali wapitie "the child act 2009" mwalimu huyu ana kesi nyingi ya kujibu
 
ndugu zangu walimu na chama cha walimu cwt,kuna mwalimu shule moja iliopo makambak0 anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la mauaji,taarifa zilizotufikia toka kwa wana familia Wake zinasema akiwa katika kutekeleza majukumu yake kama ilivyo desturi wanafunzi wakiKUTWA na INATAKIWA uwaadhibu ili kuwakanya wasirudie,siku hiyo haikuwa njema kwa mwal e sanga ambaye mpaka hivi ninavyo sema yupo kwenye MAGEREZA LA MKOA NJOMBE;ALIMWADHIBU mwanafunzi ambaye kwa sasa ni marehemu ,inasemekana huyo mwanafunzi alikufa siku tatu baadae baada ya adhabu ndipo wazazi walikuja juu ktk suala hilo,lakini SHERIA ZINASEMAJE,MTUMISHI WA UMMA AKITENDA KOSA bila kukusudiwa AKIWA KWENYE MUDA WA KAZI mwajiri anatakiwa amkingie kifua kumsaidia maana hajakusudial huyu kama mjuavyo siku hizi watu tunatembea roho zimekufa naamini mwanafunzi yule ilikuwa siku yake mungu amtwae,ninaomba wazazi mumsamehe mwalimuhuyu,cwt tumieni busara zenu kumsaidia mwal huyu,MKURUGENZI msaidie mwajiriwa wako nategemea tutamsaidia mwal huyu E SANGA

Mleta uzi hujadadavua alimpa adhabu gani? Ya viboko? Vingapi? Na wapi alimchapa katika mwili? Alimpiga ngumi? Mateke? Alimrukisha kichura au push ups? Funguka ili hata kama tunashauri tujue nani anakosa!!
 
Haa alinifundisha mathematics miaka ile ameniachia kovu la ajabu roho inaniumaga huyo alishawahi kunizimisha na afungwe
 
jamani ilikuwa adhabu ya viboko,tena vya kawaida na marehemu alifariki siku tatu baadae!!!!!! mi nataka niseme likiwa kwa mwenzako wengi huwa tunafurahia lakini liwe kwako ndo issue jamani tuangalie namna gani tumsaidie huyu mwal huyu.
 
mama,kisheria wanaangalia mwaka na siku moja kwa hiyo siku tatu ni very minus yaani hakuna mashiko kabisa cha msingi andaa kama 10ml. za wakili amtetee ili iwe manslaugher from murder,siunajua murder ni miaka 30?na bila kukusudia inaweza kuwa kati ya 5 hadi 10.
au akachomoka kabisa kulingana na the way Jamhuri ilivyofungua kesi
 
haya matoto ya siku hizi ni kuyaacha tu yafundishwe na wazazi wao. hakuna kosa hapo ila dogo alikuwa mfu aliye hai
 
Back
Top Bottom