Jambo limekuwa na UKAKASI.
Fedha irejeshwayo kwenye matawi × Miezi iliyozuiwa ili kugharamia Mkutano Mkuu wa Siku 1, haiendani kabisa (irrelevant) hata na posho zitarajiwazo kulipwa kwa Wajumbe wa mikutano hiyo.
#Ujumbe huu tusiupuuzie, Walimu huku shuleni HOJA hiyo Imepamba moto 🔥🔥🔥
👉🏼Viongozi, kumbukeni Chama ni cha Walimu, binafsi nawashauri mlete data ziongee zaidi kuliko kufichaficha sijui ni kwa maslahi ya nani?😠😠
👉🏼Aidha, Ujumbe kusambazwa kwa groups zingine wala hakuhatarishi chochote.
Badala yake ni vema Kujibu hoja kwa Ustadi.
#NB:
Shutuma za matumizi mabaya ya fedha za Chama na Mali zinginezo imekuwa gumzo miongoni mwetu Walimu, hali hiyo inachochea mtizamo hasi kwa Chama zaidi, rejea tukio la mwaka jana lililomhusu Deus Seif (Katibu Mkuu) vs Leah Ulaya (Rais) kuhusu Tenda ya Tshirt ambazo hazikutolewa kwa wakati mwaka jana.
👉🏼Sisi Walimu siyo kwamba hatuoni/hatusikii/hatutafakari mambo na kutathmini hali ya mapato yatokanayo na Makato na bei halisia za T-shirt zinunuliwazo kila mwaka (huwa zina ubora wa chini mno) ukilinganisha na gharama zisemwazo kutumika.
👉🏼Bajeti ya mkutano Mkuu ni ndogo sana kwa kuwa ni wa Siku 1, wala haupaswi kuzuia ununuzi wa Tshirt kama ilivyo kawaida, kwa mfano Wawakilishi wa Shule watakaoenda kwenye mkutano ni Mwl. 1 kila shule, imagine alipwe sh.80,000/= hii ni fedha ndogo sana, inaweza kuwa ya miezi hata 3 tu kwa ile irudiyo shuleni. Sasa, kwanini Chama kishindwe kununua T-shirt? Kwanini gawio la kwenye matawi la mwaka mzima huu limezwe na Ishu ya Mkutano Mkuu?
#HAIJAKAA SAWA!!!!
👉🏼👉HOJA hii, naomba itufikirishe sote wale tunaokitakia mafanikio CWT
VIONGOZI WILAYA-TAIFA, WEKENI TAKWIMU WAZI ZIONGEE NA SIO KULETA RAI ZA KITOTO