Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

Cwt mnatukwaza sana maana bado tumeshikwa mateka haiwezekani tuchangishwe Hela za mwenye bado mpo kimyakosa kubwa la nchi yetu ni uchawa
 
Najua umeandika kwa kujikaza kwa kuwa unatetea 'tumbo', si walimu
 
Yani kila sku tunapiga kelele msiendelee kuwaibia Walimu na hiyo 2% ya makato alafu wewe unakurupuka kuleta ngojera hapa. Ukiona watu wengi wanapinga jambo jua kuna jambo haliko sawa wameshaliona. Nyie mnashibisha matumbo yenu wakati Walimu wa watoto wetu wanataabika.

Unasema watangulizi walikuwa na madeni. Hayo madeni yalitokana na nini wakati mna vyanzo kibao vya pesa;
1) Mnawakata Walimu 2% Kila mwezi.
2) Mna Bank ya Mwalimu.
3) Mna majengo ya gorofa Kila Wilaya na Mikoa ambayo mmeyakodisha.

Sasa hayo madeni yametokana na nini. Nyie viongozi msiwafanye Walimu km wajinga, hao ni watu waliosoma, msijifanye nyie ndiyo mnajua sn kuliko wengine. Tumeona hadi mnapigana ktk vikao na wengine wanakataa uteuzi wa Rais wa nchi sababu ya uongozi maana huko mnajipigia tu pesa.

Kwa ufupi mna uchafu mwingi, hamsafishiki na hata ukiandika barua ndefu vipi hakuna anayeweza kuwaelewa kwa sasa. Ngoja Walimu wahamie CHAKUHAWATA mkome. Huyo anayewakingia kifua huyo ipo siku Walimu wakiondoa uoga mtatafuta pa kutokea.
 
Nilipata story kuwa Kuna baadhi ya Halmashauri kuna Wakurugenzi na Afsa utumishi hewa wanakataa kusitisha makato ya Walimu wanaohama CWT kwenda CHAKUHAWATA. Siku Yao ipo tutakuja hapa kuwaweka hadharani ili watueleze wametoa wapi mamlaka ya kutokutambua chama kipya chochote Cha wafanyakazi wakati huwa vinasajiliwa kikatiba na kwa mjibu wa sheria. Mfano ni hiki chama kipya Cha CHAKUHAWATA ambacho hao Wakurugenzi wamejifanya miungu watu ktk mgongo huu wa ardhi na kuamua kishirikina na CWT kuwaumiza Walimu.
 
Ulivyojielezea sasa 🤣🤣🤣
Hebu mtupumzishe wezi nyie.
 
Walimu wanapokataliwa na hao maafisa utumishi wa halmashauri ambao kuna uwezekano wanakuwa wamepewa hela na hao Cwt kujiunga kwenye vyama wanavyovitaka wasikate tamaa ila wamuone mkurugenzi na kumuambia kusudio la kumuona katibu tawala mkoa ambaye ndie mkuu wa watumishi wote katika mkoa na wakiwa kwa DED wamueleze kwamba watapita kila ofisi ikiwemo kulifikisha hilo suala TAKUKURU mpaka TAMISEMI mpaka sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 inayopiga marufuku kuchaguliana vyama itakapoheshimiwa.Idiots
 
 

Attachments

  • IMG_0311.MP4
    1.8 MB
Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe, na sasa inafika mikono mwa walimu wenyewe.
 
Kweli bwana,hawa jamaa wahuni Sana,ukienda kuripoti ajira mpya wanakupa fomu za cwt na hawakwambii kuna chama kingine.kuna siku niliwaulza mbona mlinisainisha cwt na Kuna chama kingine? Waksema eti hicho chama kingine kina mgogoro Bado hawajakubaliana na sijui cwt.Ila ipo siku ntachomoka huko cwt huu ni unyonyaji kabisa yani unakata 15000 Kila mwezi kwalipi hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…