Chama Cha Walimu Wastaafu wilayani Mlandizi mkoani Pwani wamewahimiza wastaafu wenzao wastaafu wengine kutembelea vivutio vya utalii ikiwa ni sehemu ya kupongeza jitihada za kukuza utalii nchini.
Wastaafu hao wametoa wito huo wakati wa ziara waliyoifanya kwneye mbuga ya Saadani iliyopo mkoani Tanga.