Chama cha walipa kodi Tanzania kipo na rais wake ni comrade Otieno Igogo

Chama cha walipa kodi Tanzania kipo na rais wake ni comrade Otieno Igogo

mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,254
Reaction score
44
Kwa mawasiliano zaidi piga mobile no. 0713851088. Tunarecruit wanachama wapya. Tunaitaji fair and just tax in tanzania
 
haaaa kumbe rais mstaafu wa TAFFA ndio rais wa walipa kodi tanzania bwana o.o igogo
sasa na mimi ni na TIN nilipewa wakati wa kununua baiskeli,je naweza kuwa mwanachama?je vigezo ni vipi vya kuwa mwanachama?
 
Vyama vyama vyama...... umoja umoja umoja.. chama cha wanaume, chama cha watembea kwa miguuu, chama cha wasioenda chooni... chama cha wavuta sigara... chama cha watumiaji wa pesa za mitandao.... chama cha timu zinazofanya vibaya kwenye ligi..... chama cha UKAWA......

KILA MAHALI NI UMOJA WA....... AU CHAMA CHA ........

SASA BAADAE KITAKUJA CHAMA CHA WENYE VYAMA.
 
Back
Top Bottom