Chama cha Wanajeshi wa Kikiristo - ASSOCIATION OF MILITARY CHRISTIAN FELLOWSHIPS (AMCF)

nimekusoma.ngoja nitafute details zake ndani ya jwtz,then nitarudi



Swala la kuwa registered nazani si lazima coz military wanakuwaga na utaratibu wao tofauti na huu wa raia wa kawaida,ndio maana kwa tz hawapo bounded na ELRA ya 2004 n.k

Wanajeshi nao ni raia kwa hiyo bado chaweza kusajiliwa na AZAKI, maana ya asasi za kiraia ni pale ambapo hazina moja kwa moja uhusiano na mifumo ya utawala ya serikali. Vyama vya namna hiyo vipo katika kada mbalimbali na mbona kuna chama cha wakristo wasomi waliostaafu na pia kipo chama cha wanazuoni waislamu (hayo si shida wala taabu) shida ni pale kitakapoanza kuwa na malengo ya kutaka kuitumia au kuitumikia serikali kwa niaba ya vyama vya dini zao hizo.
 
Duh!

Kwa hiyo udini hadi jeshini kazi kwelikweli

Hawa wanajeshi watakuwa wanahubiri au watakuwa wanaeneza dini kwa kutumia bunduki wakiwa vita??

Kwa iyo unadhani akiwa mwanajeshi haruhusiwi kujiunga na chama cha dini yake?
 
Sioni kama tatizo kuwa na vyama vya kidini. Mashuleni kuna vyama vya dini zote mbili kubwa. Makazini pia vipo vyama hivyo. Kwa kuwa jeshini kuna watu wanaofanya kazi, nao wana haki ya kuwa na vyama vya kidini.
 
Kwa Tanzania kiongozi wao ni mimi.

Uliza maswali nikujibu.
 
Sioni kama tatizo kuwa na vyama vya kidini. Mashuleni kuna vyama vya dini zote mbili kubwa. Makazini pia vipo vyama hivyo. Kwa kuwa jeshini kuna watu wanaofanya kazi, nao wana haki ya kuwa na vyama vya kidini.

Well! Ngoja tuje tuone Chama Cha Wanajeshi Waislamu, ambacho kitashrikiana na wenzao duniani!. maadamu kuna precedent ishawekwa, tusije tukaona Serikali ikikizuia chama cha namna hii!, na sitategemea kauli kutoka kwa raia kulaani chama cha namna hii- Equal rights and justice au vipi?
 
Kwa Tanzania kiongozi wao ni mimi.

Uliza maswali nikujibu.

No..sio wewe mkuu.

Labda anunue username yako.

Si unajua JF ni sawa na google.....nimeshajibiwa (kwa PM) structure nzima ya uongozi wao kwa Tz.
 
No..sio wewe mkuu.

Labda anunue username yako.

Si unajua JF ni sawa na google.....nimeshajibiwa (kwa PM) structure nzima ya uongozi wao kwa Tz.

Mkuu una uhakika?, am sure hunifahamu. Labda unadhani lakini zaidi ya 101% haunifahamu.

Ila kama umeshapewa taarifa; basi well and good. utasaidia kuelewesha watu malengo yetu basi.
 

kiongozi wetu kwa bongo ni mtikila
 

kiongozi wetu kwa bongo ni mtikila
 
kiongozi wetu kwa bongo ni mtikila

Hapo mkuu umeteleza.

Labda nikukumbushe kuwa kile ni chama cha wanajeshi wa kikristo.

Sasa ili uwe member ni lazima uwe mwanajeshi na sote twajua kuwa Mh.Mtikila sio mwanajeshi..

Hata hiyo it's a good gesture, u tried...
 
Jeshi kama jeshi, halina Dini
Ila Mwanajeshi kama mtu binafsi ana Dini na imani yake, so hakuna tatizo kwa hili ndio maana kuna vyama vya kiimani mashuleni, vyuoni, na ktk profesionals mbalimbali kama vile madaktari, wanasheria nk
 
Jeshi la crusadors waislam wakae chonjo
 
Tumekuwa vipofu wa mawazo kwa kuongozwa na hisia zaidi kuliko kutafuta logic
 
Kwahiyo hiki Chama cha Wanajeshi wa Kikiristo kiko registered hapa Tanzania na kwa mfumo upi hasa?

siamini kwa kigezo kuwa hiki kikundi si cha kiraia bali ni cha kijeshi yaani wanajeshi(sio raia) wa kikristo.

labda mnipe ufafanuzi JF

 
nao wa upande mwingine anzisheni cheni. Usisahau pia kipo cha Ma-dr na vingine vingi. Jinyonge kama inakuuma
 
nao wa upande mwingine anzisheni cheni. Usisahau pia kipo cha Ma-dr na vingine vingi. Jinyonge kama inakuuma

Aisee unatoa mapofu ya nini?

Nini agenda ya wanajeshi kuwa vikundi vya dini?..maana jeshi kazi yake kulinda mipaka ya nchi na si kulinda wakristo
 
Duh!

Kwa hiyo udini hadi jeshini kazi kwelikweli

Hawa wanajeshi watakuwa wanahubiri au watakuwa wanaeneza dini kwa kutumia bunduki wakiwa vita??

Yani udini sio jeshini tu hata mashuleni, vyuoni hasa chuo kikuu cha dodoma kina udini mkubwa mno na mpaka wenyewe umeshavuka mpaka wa udini na kuwa udini wa kuangamiza na kukandamiza dhidi ya wakristo. Maelezo zaidi kwa Fratery aliekuepo kwenye misukosuko na wakubwa wa nchi na uongozi wa juu wa udom.ac.tz . Mungu ibariki Tz uiepushe na hayo yote !
 
Kama kuna mzigo mzito kuubeba hapa duniani basi ni HISIA. Mtu ukiongozwa na hisia siku zote unakuwa mwepesi wa kuuliza maswali tata na kuomba majibu. Lakini cha ajabu, majibu yote unayopewa huwa hayatoshi kubadili hisia zako kwani ulishadhamiria kuamini unavyoamini.

Kinachowafanya mdhanie kuwa wanajeshi hawasali ni nini? Kinachowafanya mdhanie kila anayeshika silaha na kuongea suala la dini ana mtizamo wa ki-Al Shaabab ni nini? Kwenye majeshi yooote kuna Chapels ambao ndio wahudumu wa kiroho kwenye majeshi kwa upande wa wakristo. Sasa kinachofanya wanaoona ubaya kwa hilo waone ubaya ni dhamira zao.

Wakristo wana associations nyingi sana na zote ni kwa maendeleo ya jamii. Kuanzia jeshini, relief aids, education, health na hata ipo association of christian librarians sasa sijui cha ajabu nini. Au mlifikiri wanajeshi wakristo wakifa hawajaliwi mustakabali wao wa kiroho?

Tuwe na hoja za maana. Kama nia ni kulinganisha vitu mbona pale kunapokuwa na shughuli za maendeleo hamsemi kwa nini wana-volunteer na sisi hatu-voluntii?

Hisia za kinyonge ni zigo kubwa mithili ya ujinga
 

Ni kweli udini umezidi hasa chuo kikuu cha dar es salaam kina udini mkubwa na sokoine university usiseme wenyewe wamevuka mpaka..udini utalinagamiza taifa..hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…