Chama cha wanasheria

Chama cha wanasheria

adinag

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
87
Reaction score
11
Habari za muda huu.

Naomba mnielekeze zilipo ofisi za chama cha wanasheria makao makuu dar es salaam.


Natanguliza shukrani
 
Chama cha wanasheria wa Tanganyika kipo mikocheni regent street ili kufika tumia barabara ya mwinyi kutokea mwenge mita kama 300 kabla kufika moroco mataa au airtel hq upande wa kushoto kuna hospital ya AAR hapo hapo kuna barabara ndogo ya lami ifuate nyumba ya tatu kulia utakuta bango limeandikwa TANGANYIKA LAW SOCIETY Ingia ndani kwa msaada zaidi au watafute kupitia mtandao
 
Back
Top Bottom