Chama cha wanaume wanaopigwa na wake zao Tanzania - CCWWWT

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wanandugu tarehe 20 mwezi wa kuminamoja tunatarajia kupata usajili rasmi wa chama cha wanaume wanaoopigwa na wakezao tanzania..
kumekuwa na wanaume wengi sana wanaofanyiwa vitu vingi na kushindwa kuwa wa wazi..mmoja wapo wakati tukifanya utafiti kwenye familia za wanaopigwa na wake zao...wengi wao walikubali hali halisi...na wengine ni kutokana na matatizo yao wanayofanya juu ya wake zao.....
tunawapongeza wale wote waliofanikisha kupata usajili huu vile vile tunawapongeza wamama kwa kuwapa adabu waume zao pale wanapoleta ujinga kwenye familia

WITO
Wanamama msikate tamaa hii ni kionjo tu.......,wakileta ujinga CHAPENI MAKOFI..NARUDIA CHAPENI MAKOFI KAMA NYIE MSIPOWAFUNDISHA WAUME ZENU NANI ATAWAFUNDISHA..NYUMBA NDOGO SIKU ZOTE ZINANYENYEKEA KUPATA HAKI ZENU...ZO NI NYIE MTAKAOWEZA KUNGANGANIA AMA KUZIACHIA HAKI ZENU.......
 
Too low.....Sasa hii inafanya nini kwenye jukwaa MAKINI la SIASA??
 
Kwani maswala ya haki za na usawa wa kijinsia si siasa?
 
Ni aibu kwa mwanaume na misuli yako upigwe na mwanamke. akikushinda tumia hata shoka. akupige an unyumba umpe na matumizi ya nyumbani utoe?
 
Ni aibu kwa mwanaume na misuli yako upigwe na mwanamke. akikushinda tumia hata shoka. akupige an unyumba umpe na matumizi ya nyumbani utoe?

aaaaaaaaaaahhh mkuu lyangalo

kama abehave wacha apewe kipondo
 
Mwanaume anayepigwa na mkewe kapenda mwenyewe kupigwa.
 
Kama ni wazembe silazima wapewe vibano ila kama ni kichwa cha nyumba hawezi pewa mkong'oto hata siku moja.
Kama mpo mnaomegwa na wake zenu poleni sana..
 
Makubwa,hivi inakuwaje mpaka jamaa anashushiwa kipondo na mamsap wake?
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…