Chama cha Wazee Tanzania kutembelea Nchi nzima kusajili wanachama na kupinga ukatili wa kijinsia

Chama cha Wazee Tanzania kutembelea Nchi nzima kusajili wanachama na kupinga ukatili wa kijinsia

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Chama cha wazee Tanzania watangaza ziara ya kuzunguka nchi nzima lengo kuu la ziara hiyo ni kusajili wanachama wapya lakini pia ni kupinga ukatili wakijinsia hii ikiwa ni kuunga jitihada za waziri lakini pia jitihada za mheshimiwa Raisi wajamuhuri ya muungani wa Tanzania

 
Tanzania kuna vyama vingi kweli, bado chama cha kufa na kuzikana
 
Back
Top Bottom