Chama cha wazee Tanzania watangaza ziara ya kuzunguka nchi nzima lengo kuu la ziara hiyo ni kusajili wanachama wapya lakini pia ni kupinga ukatili wakijinsia hii ikiwa ni kuunga jitihada za waziri lakini pia jitihada za mheshimiwa Raisi wajamuhuri ya muungani wa Tanzania