Elections 2010 Chama gani kilichukuwa jimbo hili?

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Jamani, hivi jimbo la Arumeru Magharibi lilichukuliwa na CCM au Chadema?
 
He, hapa si nimesikia kuna skendo ya mbunge mteule wa chadema kuuza ushindi kwa ccm............hii ya kuuza ilitaka kutokea nyamagana
 
Alitangazwa Mathias Ole Kisambu wa CHADEMA, lakini ghafla tukasikia Mshindi ni Goodluck Ole Medeye wa CCM.
 
Je Ulanga mashariki na magharibi walipita wa chama gani?
 
Alitangazwa Mathias Ole Kisambu wa CHADEMA, lakini ghafla tukasikia Mshindi ni Goodluck Ole Medeye wa CCM.

Mkuu wangu hebu fafanua maana ni madai mazito sana hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…