Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Feb 1, 2011 #21 Sio lazima ukae kwenye jukwaa la siasa kama huna hoja za kisiasa, majukwaa yapo mengi humu, zipo sehemu za jokes na udaku unaweza pitia huko ukaifurahisha nafsi yako, au kaa pembeni soma mada za watu zenye afya, huo ni ushauri wa bure.
Sio lazima ukae kwenye jukwaa la siasa kama huna hoja za kisiasa, majukwaa yapo mengi humu, zipo sehemu za jokes na udaku unaweza pitia huko ukaifurahisha nafsi yako, au kaa pembeni soma mada za watu zenye afya, huo ni ushauri wa bure.