Ukweli huu umejidhihirisha awamu ya 5
Wafitini, wachochezi, wasiokuwa wazalendo, wanafiki, mabeberu, mafisadi, wala rushwa kwa ujumla wao itaeaona wanatoa majibu kwenye komenti kama hizi muhimu zenye tija, wao hutoa majibu yenye pumba tupu. Subiri utaona, aidha watanyamaza kama hawajaiona, au watatukana.