Chama kacheza Simba,Berkane na Yanga ila hana medali ya CAF

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
7,376
Reaction score
16,539
Jamaa ana gundu,alienda Berkane hakupata medali,akaenda Yanga timu yake ikaishia makundi ,soon Simba watavaa medali.

Akihojiwa alisema ndoto yake ni kuvaa medali au kombe.

Hana bahati ila ni mchezaji mzuri sana.
 
Akavae hirizi sasa.

Nyambafu!
 
Chama sio mchezaji wa shirikisho
Hayo mamedali ya UMISETA mpeni Deborah
 
Huo kweli ni mkosi aisee.
Itamtesa sana Kisaikolojia kwenye maisha yake.
Timu zote tatu unapishana na Fainali.

Hizi ndio Faida za Usaliti.
Usaliti ni kitu kibaya mno.
Vijana mjifunze.

Simba ikichukua ubingwa Atakufa kihoro
Usaliti Gani
Ulitaka abaki Simba MILELE
Chama ni mfanyakazi sio mwanachama wala shabiki wa mbumbumbu, akipata mahali Kuna pesa anaenda
 
Jamaa ana gundu,alienda Berkane hakupata medali,akaenda Yanga timu yake ikaishia makundi ,soon Simba watavaa medali.

Akihojiwa alisema ndoto yake ni kuvaa medali au kombe.

Hana bahati ila ni mchezaji mzuri sana.
Ana ka ujinga kamemvaa hadi anakaribia kustaafu.
Angetulia Simba na akaacha kiburi na majivuno angefika mbali.
Tabia yake ya kuwaweka roho juu mashabiki wake sikuipenda kabisa na niliamini tu alihusika kwenye kutusaliti hasa kutokana na uswahiba wake na manara.
Ni mnafiki anastahili kuishia alipo sasa
 
Mnalazimisha Chama akacheze shirikisho kwanini?
 
Jamaa ana gundu,alienda Berkane hakupata medali,akaenda Yanga timu yake ikaishia makundi ,soon Simba watavaa medali.

Akihojiwa alisema ndoto yake ni kuvaa medali au kombe.

Hana bahati ila ni mchezaji mzuri sana.
Chama mlimuacha kwa talaka tatu, lakini kila wakati humuishi kumuwaza.

Hizo medali za plastic za kichina nazo ni za kuringia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…