Chama karudi Tanzania sababu ya comfortability na anafahamu kuwa sisi wahusudu mafundi , tutamuimba

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu
Kwa wanaofuatilia Sakata la Chama alipokuwepo Tanzania mwanzo na alipoondoka kwenda RS Berkane, kisha Aliporejea Tanzania na sababu zilizotolewa kurudi na uhalisia wa utumikaji wake kule Morocco.
.
Wataelewa kwanini nina hoji mengi tofauti na kusifu ubora wa miguu na akili ya Chama kiwanjani.
.

Dhumuni la andiko lilikuwa kuwahoji wanaotumia fursa ya utetezi wa Chama huyu wa Sasa kushtua kwa matendo yake ambayo kwangu hayajafikia matendo yake kabla ya kuondoka.
.
Hapa niliunga nadharia 3 na kwa wanaofuatilia trend lile andiko wasingeona Huo mkanganyiko.
.
Ila kwa wasiofuatilia, lile andiko lingewapa ukakasi nimesimamia wapi hasa au nina chuki ama ukariakoo ila nadhiri ni elimu na mawazo mbadala tuelewane pande zote za mawazo.
.
So nimewaelewa ila acha tueleweshane taratibu.
.
1- Kabla Chama hajaondoka tuliwahi jadili Hapa Jf. Moja ya hoja iliwahi semwa Kuwa Clatous Chota Chama ni mchezaji bora kuwahi kutokea Tanzania wa kimataifa.
.
Mimi nilikataa

Nilikiri Chama ni hatari sana ila nikasema nahitaji kumuona hivi hivi kwa zaidi ya misimu miwili ili Historia inapoandikwa haiandikwi kama muhtasari.
.
Kwa maana ndogo mimi sikupinga Ubora wake bali nilipinga timing iliyotumika kupigia mstari kikomo chake cha ubora kwa wakati huo.
.
2- Mantiki ya pili ni baada ya Chama kukosekana katika mechi za Morocco nyingi kuliko alizocheza na sakata lake la kurejea.

Mimi niliamua kuwa muwazi ya Kwamba , pamoja na ukweli wa talanta ya Chama kama mchezaji ila ni wazi ameshindwa ku cope enquiries za kiufundi na Kimbinu na kimahitaji ya level of fitness kucheza uarabuni kwani hiisi mara ya kwanza anafeli uarabuni.

Na nilipinga vikali kuamini ishu ya umbali sijui familia wala utetezi wa kwamba hakupapenda Berkane siku ya kwanza anafika.
.
Nilijiuliza swali, alikubalije kusajiliwa juu juu bila kujiridhisha na comfortability yake nje ya kiwanja kimazingira ?
.
3- Mantiki ya 3 ni ubora wa Chama tangu atue Tz. Binafsi sio sawa na ule ubora alioondokea
.
Kwangu yule Chama alikuwa bora sana kuliko huyu ninayemuona sasa.
.
Haimaanishi huyu Chama hana hio talanta ujue?
.
Ni ubora tu umepungua , ubora ambao with right mind right training and Teammates and right system ubora unaweza rejea.
.
Kwani pamoja na Kutokuwa bora kwa Chama hakumaanishi hana Talanta yake aliyopewa na Mungu.
.
Hapa ndipo alipoingia Ajibu

Ibrahim Ajibu kwangu ni Talent ambayo tanzania wanayo vizazi vichache ila Ajibu amewahi kuwa bora msimu miwili pekee tangu acheze ligi kuu. {Alipochipukia na Alipokwenda Yanga Sc mpaka kupewa Usinga pamoja na signatory ya Bakuli kipindi kile} .
.
Ndio Soka letu acha tuishi humo.
.
BACK TO CHAMA SASA...

Ni Kwamba Clatous Chota Chama is Playing in his comfort zone?
.
Chama karudi Tz sababu ya comfortability na anafahamu kuwa sisi wahusudu mafundi , tutamuimba kwa gharama yoyote na hatutamfosi kwenda extramile ku prove himself pamoja na kwamba anaujua.
.
Katika Mabadiliko ya Soka la kisasa KUUJUA PEKEE HAITOSHI BILA HARD WORK WITH SPEED DAY IN DAY OUT AND IMPROVE DAILY.
.
Na hapa ndipo Vita ilipo
.
A- Akina mimi tunaomuwazia Chama kuwa bora zaidi ya talanta yake na kutunufaisha kutazama talanta yenye ubora uliotolewa jasho na hasira za kijana mbichi na Veteran maji ya Jioni.
.
Putting more hard work day in day out , Hili si yeye bali na kwa huyu Ajibu wetu
.
B- Huku ni Walio wengi walioridhika na Burudani ya Chama hawahitaji ziada kama walivyomridhisha mzee wa Makorokoro . Mtoto wa hajatimiza ndoto zake kama mchezaji mwenye kipaji kikubwa mpaka leo.
.
Na Silaha inayotumika ni 1 tu.
.
Kumkingia kifua Chama kama alivyokingiwa Ibrahimu Ajibu enzi zake
.
Kwa hio niliamini wanaokumbuka hizi scenarios wangeelewa ninachomaanisha.
.
Ila pia nimeelewa kwanini baadhi yenu mengi yamewakanganya.[emoji1755]
.
ILA SOKA NA MIGONGANO YA MAWAZO NDIO KUKUA KWAKE WAJUBA.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kufunga kagoli kamoja tu kale Kwa kuwagalagaza mabeki ndo na UZI mshapandisha 🤣🙌

Chama ameisha .....🤣
 
Kuna watu hamna kazi za Kufanya!! Umeandika uzi mreeeefu wenye point moja tu yasingi.. kuhusu ulinganifu wa ubora wa chama wakati ule na sasa...
 
Sisi tunasubiria mwisho wa msimu ndio tujue yule Dr wa mpira aliitwa kwa vigezo gani?
 
Sisi tunasubiria mwisho wa msimu ndio tujue yule Dr wa mpira aliitwa kwa vigezo gani?
Hivi Unaweza Nitajia Midfielder Gani Pale Simba Anayemzidi Aucho Khalid "Tank" Au Ndo Mzamiru [emoji1787]
 
Kwa hiyo gazeti lote hilo kisa ni goli dhidi ya Biashara

Mkuu we endelea kuchambua na mwisho wa msimu takwimu zitaongea
Keep counting.....
 
Hawa mara nyingi wanakuwa na tabia ya kuuma na kupuliza yaani kukosoa na kusifia..! Ndo maana ukaona karatasi refu kiasi hicho.
yeah, you said it! Anajaribu kukigeuka alichowahi kukieleza, ndio maana maneno machache kwake hayatoshi
 
Kwa namba 8 Tanzania hakuna
.
Ila Tanzania hapo kuna viungo wawili wakiwa serious wanamtoa Aucho kikosini
.
Sureboy
Kelvin Nashon
.
Nimejibu Tu Ingawa Sijawa Taged Mm

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Bado Sana Kiongozi Kwasababu Aucho Ivo Unavomuona Kwa Wanaomjua Wanakwambia Uwezo Umepungua.... Yule Ni Habari Ingine....Aucho Hapotezi Mipira Kijinga Jinga Yule Jamaa Na Pass Zake 95% Zinafika Kwa Aliyemkusudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…