Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 221 Jan 24, 2012 #1 Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja na masharti na kila kitu.
Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja na masharti na kila kitu.
daughter JF-Expert Member Joined Jun 22, 2009 Posts 1,275 Reaction score 748 Jan 24, 2012 #2 uko maeneo gani ya tanzania hii? kama utakuwa karibu ntakuunganisha nilipo mimi
Latifaa JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 501 Reaction score 258 Jan 24, 2012 #3 mie naishi Dar
Latifaa JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 501 Reaction score 258 Jan 24, 2012 #4 karibu kemye chama hatuchagui kabiala kujiunga 1,000,000 ndio unakua mwanachama hai
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Jan 24, 2012 #5 sasa utanijua mie ni nani? Mmh, hapa parefu
Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 221 Jan 24, 2012 Thread starter #6 napatika dar my dear niko serious please kama uko dar naomba masharti yenu
Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 221 Jan 24, 2012 Thread starter #7 mmhhhh 1m?