Uchaguzi 2020 Chama kikuu cha upinzani ni NCCR MAGEUZI NI KAMA 1995

Mwalimugeorge

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
33
Reaction score
13
Chadema ❎
Kipimo cha kutokuwa na Akili timamu ni kushabikia CCM na CHADEMA.

Sent using Jamii Forums mobile app

AICT WAZALENDO ❎
NCCR MAGEUZI ☑️
 
Divide and rule.

Ccm nimewavulia kofia

komesha korona
 
Chadema wajilaumu wenyewe. Nafas walipewa wakacheza!
 
Chadema ❎




AICT WAZALENDO ❎
NCCR MAGEUZI ☑
Mwl pasi na elimu hujui uliandikalo! Hizo ndoto zako kazifungie kwenye boksi lako la maandalio zitakusaidia ukiwa na stress za madeni unayodaiwa mtaani!
Kwa taarifa yako, chama kikuu Cha upinzani ni covid-19 na ndicho kitachounda serikali! Wewe kazana na hivyo vyama makinikia but covid-19 is here to lead the country!
 
Maalim sefu ana uhakika.wa viti 25 pemba,utasemaje nccr ndio chama kikuu?
 
Wacha NCCR warudi kwenye kiti chao ambacho walikipoteza. NCCR ndio baba wa mageuzi hapa nchini si wengine hao wachumia tumbo!

Uzuri wajinga wa kujitakia wanazidi kuongezeka ccm, huku idadi ya wanaojitambua wakiongezeka nje ya ccm.
 
Wananchi, nafasi kidogo ya kuaminiwa, sasa 70% ya wale waliowaamini sasa hawaamini tena ktk chadema wanaona ni kijikundi flan cha kupiga ruzuku (na ndio ukweli)
Hiyo research uliyopata 70% ulitumia vigezo gan kuipata mkuu? Chama gani kinaaminiwa sasa hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…