nadhani ni sawa tu na shashabiki wa CCM kata ya mapanda.Sasa hii itakuwa dini gani katika hizi nne nazozijua mimi?View attachment 3141543
Nadhani Tuishie Hapanadhani ni sawa tu na shashabiki wa CCM kata ya mapanda.
ni sawa tu na mkereketwa wa CCM kata ya mapanda.
ni sawa tu na mkulima wa CCM kata ya mapanda.
ni sawa na mfugaji wa CCM kata ya mapanda.
ni sawa mdau wa CCM kata ya mapanda n.k n.k
ni katika kujawa shauku, hamasa na kuipenda CCM kila mwanachama wa CCM anaweza kujitambulisha na kueleza anachokifanya kwa wanainchi 🐒
Yote ni kheri maana mikono na midomo yao imetapakaa damu.Sasa hii itakuwa dini gani katika hizi nne nazozijua mimi?View attachment 3141543