Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Tanzania labor party basi nacho kipo kinyume cha sheria kwa m isingi hiyo
mhhhhhhhhhh kazi kweli kweli,baada ya kumiliki GAZETI LA RAIA MWEMA sasa wanakuja wanaanzisha CHAMA,duh wa-tz tumechoka na mavyama kibao.tunataka vyama vicheche vyenye sera ZA KUMKOMALIA NYANI GILADI bilaya kumtizama machoni.

Nadhani kama unawaunga mkono utakuwa unakaribishwa... as a matter of fact nadhani hiki chama ni kinyume na sheria.. Kwa sababu Katiba inakataza kuunda chama kwa misingi ya kuhudumia watu wa kundi fulani..