Chama kipya chaanzishwa tuwe makini nacho sana ni hatari tupu

SWADO

Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
83
Reaction score
2
Wana JF kuna chama kipya kimeanzishwa kinaitwa CCWCT. Wanachama wake wengi ni wanafunzi wa vyuo vikuu. Kirefu chake ni Chama Cha Wapiga Chabo Tanzania. Be careful has ukiwa faragha. From original source
 
JOkes? au
 
Its joke inyofanana na reality hako kamchezo kapo sana vyuoni jamani?
 
Wana JF kuna chama kipya kimeanzishwa kinaitwa CCWCT. Wanachama wake wengi ni wanafunzi wa vyuo vikuu. Kirefu chake ni Chama Cha Wapiga Chabo Tanzania. Be careful has ukiwa faragha. From original source

Natamani ustaarabu ungekuwa unafundishwa hata darasani. Watu wangefika chuo kikuu wakiwa tayari wamesha-qualify kwenye somo hilo. Si-imagine kitu hiki kufanywa na mtu msomi wa level ya juu namna hiyo, unless unatania. Anyway goodluck to them!
 
Kimesajiliwa? kama yes office zipo wapi nikachukue meli ya uwanachama( member ship)
 
nyambafu...mods please km mpo tekelezeni wajibu wenu
 
Back
Top Bottom