Chama kipya chasajiliwa...



Great thinker!!!
 
Sasa ni chama cha wakulima au cha siasa? mbona kinabagua? wangetafuta jiina lingine. Ila nawapa hongera kwani angalau wamekuwa wajasiri na kuanzisha!!

Kijiswali tu: Hivi inapofikia wakati nchi inakuwa na vyama vingi vichanga si dalili kuwa kile komavu ambacho kinatawala kimeshindwa kazi? Kwa sababu niaminivyo mimi dhana ya vyama vingi ilikuja kwa minajili ya kurekebisha utendaji kazi wa uongozi kwani mapungufu katika uongozi wa chama tawala ndiyo yanayowapa sera vyama pinzani.
 
Hawa ni wazushi wamengojea JK atowe kaulimbiu ya kilimo kwanza wakaiga au ni CCM B?
 
Hiki ni chama cha wakulima tu au na siasa mbona kinachanganya.

Kinatetea maslahi ya wakulima pekee au na wananchi wengine wa kawaida?

Du, kaaazi kwelikweli!
.
kazi kwelikweli tutaona vyama kam utitili miaka hii.bado changu chama wa wapenda soka -kinakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…