Chama Kipya: New York Metropolitan Tanzanians Community

- By the way leo nilipata bahati ya kukutana na Bwana Paul Rusesabagina for atleast 1 hour and a half, it was a great experience kukutana na huyu great hero, very humble man na for sure a very intelligent man,

- Amenisikitisha sana na habari ya jinsi nyumba yake alipokuwa akiishi Belgium, ilivyovamiwa na "watu" na kuharibu kila kitu ndani yake, inatia uchungu sana, lakini amenipa moyo sana kwa jinsi asivyoogopa na sasa amehamia US. Nimemuomba sana apitie pitie hapa maana anajua kiswahili chote, akasema atajaribu sana siku za karibuni, sasa hivi anashugulika na charity works.

Ahsante.

William. (Community Organizer).
 
Inahusu vipi chama chako unachokinadi hapa. Acha viroja.
 
Inahusu vipi chama chako unachokinadi hapa. Acha viroja.

- Ni part ya Community Organizing, kwa sababu pia nilienda kupata ushauri zaidi maana hawa kina Paul, ndio hasa wanaojua vizuri sana hizi shuguli na nilijifunza mengi sana kutoka kwa huyu shujaa.

Ahsante.

William.
 
Nadhani ungejifunza kuseparate private na public life yako. Hili ni tatizo kubwa sana kwako. Kuna siku utatuambia mkeo ni shujaa kwa sababu umejifunza mengi sana toka kwake......
 
Nadhani ungejifunza kuseparate private na public life yako. Hili ni tatizo kubwa sana kwako. Kuna siku utatuambia mkeo ni shujaa kwa sababu umejifunza mengi sana toka kwake......

- Sina tatizo lolote kukutana na Community Organizer mwingine wakati kama huu tunaotaka kusimamisha chama sio private life, ila shuguli muhimu katika kuimarisha chama kipya na nimejifunza a lot toka wka huyu shujaa. Mke wangu na watoto wangu sina hata sababu ya kuwataja kwa sababu ni my half yaani wao ni part ya maisha yangu.

Ahsante.

William.
 
Kwa hiyo unakubali kuwa hiki chama ni chako binafsi bali unataka support ya community ili uweze kufanikisha malengo yako. Ikitokea community member anahoji hoji kuhusu chochote juu ya chama ambacho wewe hutaki kuhojiwa kwacho, si utamtimua kwa vile wewe ndio mwanzilishi, organiser na msemaji.
 
Uliahidi kuweka bayana wanakamati waliokutana Harlem! Sasa umeufyata?

- Mkuu samahani sana hapa JF naamini hakuna mbwa wa kufyata mikia na sitaki kuamini kwamba wewe ni mbwa unayeweza kufyata mkia,

Nimekua na shughuli sana, isipokuwa ni kwamba chama na viongozi wake wa muda, tumeamua kuhamishia hizi habari kwenye webbsite yetu mpya ya chama, ambako pia tutakuwa na nafasi ya wananchi kuchangia mawazo yao, nitawafahamisha jina la webb as soon as possible.

- Isipokuwa kwa sasa naomba kuwashukuru sana utawala wa JF kwa kuweza kutupatia nafasi hii na pia wananchi wote waliochangia huu mjadala, tumejifunza mengi sana na kwa niaba ya chama ninashukuru sana kwamba wengi mnajali yaani kuwaonea huruma wananchi wa NY kwa kuweza kuishi miaka 47 ya uhuru wetu bila chama cha jumuiya. Mawazo mazuri yamesikika na yatafanyiwa kazi, ila tukutane kwenye webb yetu mpya ya chama.

Mungu Aibariki Tanzania na Hiki Chama Kipya na ndugu zangu muwe na amani sana ya Mwenyezi Mungu wa Mbinguni.

Ahsante na Kwaherini ya Kuonana.
William. (Community Organizer).
 
Maneno mengi, ahadi nyingi utekelezaji sifuri. KiCCM CCM.

Chama chako ni dead kabla hakijazinduliwa.
 
Maneno mengi, ahadi nyingi utekelezaji sifuri. KiCCM CCM.

Chama chako ni dead kabla hakijazinduliwa.

If you do me,
You rub ma back,
- Bwa! ha! ha! ha! hillarious, you know what I like this I mean the red thing ha! ah! ha! maana it says a lot about the man behind the words ha! ha! ha!

Es!
 
- Bwa! ha! ha! ha! hillarious, you know what I like this I mean the red thing ha! ah! ha! maana it says a lot about the man behind the words ha! ha! ha!

Es!

You see the kind of a person you are, short and simple minded.

You even don't understand that.
 
You see the kind of a person you are, short and simple minded.

You even don't understand that.

- Unajua inachekesha sana wasting your time na this kind of a person Bwa! ha! ha! ha! badala ya those who looks like you kina the...ha?! ha! ha! ha! hillarious! Endelea kujivua nguo, afadhali mwenzako yeye yuko kimyaa!
ni wewe tu ha! ha! ha!

Es!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…