Chama kitakachoshinda uchaguzi mkuu 2020,inabidi kianze utaratibu wa kuangalia kanzidata yake kabla ya kuajili MTU ktk ajira ya serikali,ikiwa kilipewa kura na MTU Huyo na anasifa zote basi apewe ajira
Kuna watu wanavyeo vikubwa wanakula AC maofisini lakini kwenye kura hawapigii chama.
Hapa nazungumzia vyama vyote sijataja chama japo Mimi ni Kijani.
Maoni yenu.