THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Nisikuchoshe..wewe ndie Mchezaji ushacheza sana unaona kabisa unaelekea ukingoni Yanga hawa apa na Yanga tena hii ya Hersi ambayo inashawishi kila kitu yani hii Yanga inashawishi Ndani na Nje ya Nchi.
Imekufata utagoma?
Mfano tu Mi shabiki LiaLia wa Manchester United Imagine Leo hii Mchezaji atakiwe na Madrid Paap hapa halaf na Chesii pale unafikiri atagoma kwenda Madrid?
Msimlaumu Chama Kwanza Chama sio Mtanzania yeye amefata Pesa na Mafanikio tu bongo akirudi kwao atasimulia alichokifanya Bongo Makombe aliyotwaa..tofauti na mchezaji Mzawa ambae atamaliza Mpira wake anarudi mtaani humuhumu kuendesha Bajaji mnakua mnapishana nae ila chama hatokuepo Bongo.