G Gusa achia twende kwao JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 916 Reaction score 1,031 Jun 1, 2025 #1 Hii hapa ni orodha ya vilabu vilivyochukua Ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL-UEFA CHAMPIONS LEAGUE) baada ya Jana PSG kubeba taji kwa kipigo cha mbwa Koko alichomshushia Inter Milan,Chama lako ni makombe mangapi mpaka sasa?
Hii hapa ni orodha ya vilabu vilivyochukua Ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL-UEFA CHAMPIONS LEAGUE) baada ya Jana PSG kubeba taji kwa kipigo cha mbwa Koko alichomshushia Inter Milan,Chama lako ni makombe mangapi mpaka sasa?
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,447 Reaction score 3,302 Jun 1, 2025 #2 Barca+liver+dortmund=13
Buttler Jo JF-Expert Member Joined May 26, 2025 Posts 901 Reaction score 811 Jun 1, 2025 #3 Bayern- 6 Chelsea- 1 PSG- 1