Chama langu Simba hatari inakuja tuchukue tahadhari

Naona utabiri wako umetimia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira hauchezwi mdomoni haya hao Songo mmewapiga hiyo week??? Mtoa mada alikua sahihi kabisa alikosea tuu kwenye hiyo yanga akitoka 0-0 ugenini na amekiri kukosea ila bado mkajifanya vichwa ngumu
Hivi una kumbuka mara ya mwisho lini Simba kufungwa uwanja wa Taifa? Wamekuja wababe wa Egypt, Congo, Algeria, Zambia etc ila wote walisanda. Hao Songo pona yao ni kupigwa viwili ila wakizubaa ata week wanaweza pigwa.
 
Uliona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…