Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
- Thread starter
-
- #21
Samahani kwa usumbufu mkuu, nilighafilika hapoSamahan Mkuu unaujua vizur Mpira au unasimuliwa? Unasema Yanga akitoka suluhu kutofungana anafuzu huku umeandika
Which is which?
Dah kwa kosa hilo lep nitaoga matusi ya kila aina😃😃😃kiazi huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Hivi una kumbuka mara ya mwisho lini Simba kufungwa uwanja wa Taifa? Wamekuja wababe wa Egypt, Congo, Algeria, Zambia etc ila wote walisanda. Hao Songo pona yao ni kupigwa viwili ila wakizubaa ata week wanaweza pigwa.Nimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu
Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana AS SONGO ya Msumbiji
Ndugu zangu sare ya bilakufungana ugenini ni hatari sana. Unatembea kwenye uzi mwembaamba sana baina ya kusongambele na kutupwa nje ya mashindano.
Hapo hakuna alternative kwa Simba zaidi ya ushindi. Afadhali ile sare waliotoka watani zetu wa Jangwani na Township Rollers, sare ya bao moja kwa moja. Kama Yanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
Msimbazi akitoa sare ya magoli ya aina yoyote anaaga mashindano, suluhu ya bilabila ni changamoto ya mikwaju ya penati ambayo sikuzote haina mwenyewe!
Tuliidharau timu hii ya Mozambique lakini siku zote Msumbiji hua inatusumbua sana iwe kwa ngazi ya vilabu na hata timu ya Taifa. Wana style yao ya kufunga goli dakika tano za mwanzo na likang'ang'ania hadi mpira unaisha
Natoa wito kwa viongozi na hasa benchi la ufundi wasiwachukulie poa hawa jamaa
Waache kabisa tabia yao ya kufanya majaribio ya wachezaji na aina ya uchezaji, tabia ambayo kocha wetu Patric anayo sana. Waweke kikosi cha kazi isitukute aibu tukakosa pa kuweka sura zetu
Sisi mashabiki panapo majaaliwa tutakuwepo uwanja wa Taifa kutoa sapoti inayohitajika kama kawaida yetu
SIMBA NGUVU MOJA
Hakuna shida Mzee, Ila kukusaidia ile sare ya simba kwa ugenini ni afadhal zaid kuliko draw ya Yanga Nyumaban... Siku zote mechi za mtoano ukishindwa kutake advantage ya uwanja wako wa Nyumban kutolewa ni rahis sana.Samahani kwa usumbufu mkuu, nilighafilika hapo
Mimi ni moja kati ya mashabiki wa mpira kuwahi kutokea hapa nchini,ila hapo nilipitiwa kidogo so sorry
Mwingine huyu hapa kavamia hajui faida ya goli la ugeniniYanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
[emoji12]
Mwaka 2003 Simba ilipocheza hatua ya makundi kwa mara ya kwanza CCL alikua ametoka kukutana na mazingira kama hayo kwenye hatua za awali.Hakuna shida Mzee, Ila kukusaidia ile sare ya simba kwa ugenini ni afadhal zaid kuliko draw ya Yanga Nyumaban... Siku zote mechi za mtoano ukishindwa kutake advantage ya uwanja wako wa Nyumban kutolewa ni rahis sana.
Simba Msimu ulipita wa Champions League
Alimfunga Nkana taifa akafuzu hatua ya makundi
Alimfunga Vita mech ya mwisho taifa akafuzu robo fainali
Alidraw Home na Mazembe akaenda kutolewa Congo.
NB. Simba alishinda Mechi zake zote alizocheza Uwanja wa Taifa kwenye hatua ya Makundi.
Nilikosea hapo mkuu ila nimesharekebisha. Hoja yangu ilikua Si.ba wasidhani wapo kwenye nafasi nzuri sana maana wao wanahitaji ushindi wa aina yoyote kwani sare ya magoli itamaanisha kuyaaga mashindanoYanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
[emoji12]
Huo ndio wasiwasi mkubwa. Simba tumejenga kujiamini kupita kiasi bila kuweka tahadhari kua tunacheza na mabingwa wa nchi nyingineHivi una kumbuka mara ya mwisho lini Simba kufungwa uwanja wa Taifa? Wamekuja wababe wa Egypt, Congo, Algeria, Zambia etc ila wote walisanda. Hao Songo pona yao ni kupigwa viwili ila wakizubaa ata week wanaweza pigwa.
Wangejua ninavyoumia tukitolewa au hata tukifungwa nadhani wangenielewaMashabiki wa Mikia mnapenda maneno sukari tu. Mutafakari na hili pia sababu linaweza likawezekana pia. Lol.
Nimeshafanya editing mkuuUlikuwa na nia nzuri ila Rekebisha kidogo
Sio tuu kujiamini kwa Mkapa sio mahali salama,ukiangalie ile timu wakati ipo tuu kwao walikua hawajiamini, mashabiki wa Simba walikua wachache walikua na mzuka kuliko hata mashabiki wao, Cha pili wale jamaa hawana mfungaji simba ile mechi Kuna kipindi walikua Wana relax Kama wanacheza na mbao tuu kwakua wale jamaa walikua hawana madhara langoni kwa Mnyama,kikubwa kufungwa wale lazima hawawezi kuimiri presha ya pale kwa Mkapa.... Mashabiki wa Simba tusizarau hii mechi tujitokeze kwa wingi uwanjaniHuo ndio wasiwasi mkubwa. Simba tumejenga kujiamini kupita kiasi bila kuweka tahadhari kua tunacheza na mabingwa wa nchi nyingine
Natamani san na naombea iwe hivyo mkuuSio tuu kujiamini kwa Mkapa sio mahali salama,ukiangalie ile timu wakati ipo tuu kwao walikua hawajiamini, mashabiki wa Simba walikua wachache walikua na mzuka kuliko hata mashabiki wao, Cha pili wale jamaa hawana mfungaji simba ile mechi Kuna kipindi walikua Wana relax Kama wanacheza na mbao tuu kwakua wale jamaa walikua hawana madhara langoni kwa Mnyama,kikubwa kufungwa wale lazima hawawezi kuimiri presha ya pale kwa Mkapa.... Mashabiki wa Simba tusizarau hii mechi tujitokeze kwa wingi uwanjani
Ni kweli kabisa kwa maneno mengine ile sare ya hapa Taifa ni advantage kwa Yanga wakati Simba tuna mtihani mkubwa