Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
- Thread starter
-
- #61
Kuna wakati kama kweli tunazipenda timu zetu inabidi tuwaambie ukweli. Simba hii timu waliidharau na wamejiamini kupita kiasi. Wanaingia uwanjani kwa kucheza na historiaKwa jinsi walivyocheza simba kule msumbiji kuna hatari wakatolewa mapema tu kwenye michuano hii.
Wakishikiliwa mpaka penalty watatolewa tu maana wanavyocheza ni kama wanalewa kwanza ndiyo wanaingia uwanjani.
Pamoja sana mkuuAsante mdau mtoa uzi tutafanyia kazi, ila nikupe ushauri wa bure unapoenda vitani waza zaidi kushinda kuliko kufeli. Hofu yako ndiyo inawakuta vyura fans hawaiamini timu yao ndiyo maana hawaendi viwanjani hiyo hofu huwapata hata wachezaji pale wanapokosa support kutoka kwa mashabiki.
Simba hiyo hofu huwa hatuna hata pale tunapoona timu yetu ni dhaifu dhidi ya mpinzani rejea timu yetu ikiwa dhaifu msimu wa juzi tulipigwa 3 bila na yanga lakini kwa kuamini siye ndiyo siye nchi hii tulirudisha bao zote jambo ambalo lingekuwa kwa yanga ndiyo wawe wamepigwa goli hizo wangekata tamaa.
Tusiwe watu wakukata tamaa mapema jiamini na adui yako atakuogopa nadhani kujiamini kwa simba ktk uwanja wa mkapa kuliisaidia sana simba kufika robo ccl kwa kuwadindia vigogo wa afrika hadi zahera akawadanganya ndugu zake kuwa simba anapulizia dawa vyumba kumbe hasijue kuwa ni nguvu ya mashabiki iliwafanya wachezaji wajitoe mhanga wasije wakawaangusha
Mkuu,mpaka hapa wewe ni mpiga kelele tu, kama huwezi kutoa mawazo ya kikosi unachoamini ni bora wakati huo huo unataka kocha apange kikosi bora hujui usemacho,wewe ni aina ya watu wanasema hivi ili mambo yakienda kombo wapate pa kusemea,hutapata nafasi hiyo ya kusema kwa vile Simba itashinda kwa soka LA uhakika na matokeo makubwa.Kupanga kikosi ni kazi ya kocha, siwezi thubutu kumpangia maana sio taaluma yangu. Hii haina maana akipanga kikosi cha hovyo tukapoteza mechi tuache kumlaumu, tutamlaumu hasa ukizingatia bajeti iliyotumika kukusanya kikosi chenyewe
Kama ilivyokua kwa Stars ,Amunike ndie alikua na mandate ya kupanga timu lakini timu ilipoboronga tulijiuliza kwa jinsi alivokua anapanga timu alikua analazimishwa au anapanga mwenyewe!!!! Simba hatutaki litutokee
Wasifikiri kuitwa simba unakuwa na guarantee ya ushindi.Kuna wakati kama kweli tunazipenda timu zetu inabidi tuwaambie ukweli. Simba hii timu waliidharau na wamejiamini kupita kiasi. Wanaingia uwanjani kwa kucheza na historia
Waamke wachukulie mambo seriously
Ebu usiwe mbumbu jaribu kutuliza akiliyako na usome tena alicho andika.Write your reply...Eti Yanga akitoka suluhu ya bila kufungana anafuzu? Hiyo sheria ya wapi ndugu yangu au unaleta mzaha humu?
Mkuu wewe ingekuwa ndo kocha wetu nauhakika ile mechi ya msumbiji tungepigwa hata goli kumi...kwenye hizi mechi za kimataifa hatua ya mtoano timu inatakiwa inapokuwa ugenini ijitahidi ishinde...droo...or kama ni goli ifungwe moja tu isifungwe goli nyingi..kwa approach ya mwalimu siku ile ilikuwa ni kucheza kwa ku deffence tena kwa ku relax tusifungwe goli nyingi...ndo mana ulikuwa unaona hata mpira wetu sio wa haraka haraka...na mwalimu alifanikiwa...na kama hujui mwalimu hakuidharau na haidharau ile timu ndo mana hakuichezesha timu katika mchezo wa ushindani zaidi akijua madhara yake...ile timu mwaka jana ilimuua tp mazembe tatu bila palepale kwao,simba katoa droo naona unapata hofu...unadhani simba hata ingeshinda basi mechi ya mrudiano ndo ingekua mtelezo,tungeshinda tena mechi ya mrudiano ndo tunge be suprized..cha msingi hapa ni mechi ya marudiano simba icheze mpira ishinde mechi habari za droodroo sjui hizo hazipo...na wale mechi ya siku ile walicheza kwa uoga sana sasa kwa uoga ule wakija kwa mkapa pale ni kazikazi mpaka wapoteane...hatuwadharau ni timu nzuri but hakuna namna vita ni vita lazima tutafute ushindi..tucheze kwa confidence na umakini mkubwa mpaka wapoteaneApange kikosi cha mashindano na si majaribio
Mkuu naweza kukupangia vikosi vya Simba tangia kile kilichocheza na Mehla Al Kubra ya Misri 1974, Kilichoitoa The Mighty Mufulira Wanderers 1979, kilicheza na Union Spotive Duala na kupoteza goli nne taifa mwaka 1980, kilichotaka kushuka daraja tukaifunga Yanga taifa 1986, kilichocheza tangia mechi ya mwanzo na Ferreviario de Nampula ya Msumbiji 1993 na kuendelea hadi kuingia fainali ya kombe la Abiola kabda ya kupoteza kwenye fainali mna Stella Abijan, kikosi kilichocheza Ccl makundi 2003 na vyoote hadi cha juzi kilichotambulishwa kwa MkapaMkuu,mpaka hapa wewe ni mpiga kelele tu, kama huwezi kutoa mawazo ya kikosi unachoamini ni bora wakati huo huo unataka kocha apange kikosi bora hujui usemacho,wewe ni aina ya watu wanasema hivi ili mambo yakienda kombo wapate pa kusemea,hutapata nafasi hiyo ya kusema kwa vile Simba itashinda kwa soka LA uhakika na matokeo makubwa.
Angalau wewe hapa umechambua kitaalamMkuu wewe ingekuwa ndo kocha wetu nauhakika ile mechi ya msumbiji tungepigwa hata goli kumi...kwenye hizi mechi za kimataifa hatua ya mtoano timu inatakiwa inapokuwa ugenini ijitahidi ishinde...droo...or kama ni goli ifungwe moja tu isifungwe goli nyingi..kwa approach ya mwalimu siku ile ilikuwa ni kucheza kwa ku diffence tena kwa ku relax tusifungwe goli nyingi...ndo mana ulikuwa unaona hata mpira wetu sio wa haraka haraka...na mwalimu alifanikiwa...na kama hujui mwalimu hakuidharau na haidharau ile timu ndo mana hakuichezesha timu katika mchezo wa ushindani zaidi akijua madhara yake...ile timu mwaka jana ilimuua tp mazembe tatu bila palepale kwao,simba katoa droo naona unapata hofu...unadhani simba hata ingeshinda basi mechi ya mrudiano ndo ingekua mtelezo,tungeshinda tena mechi ya mrudiano ndo tunge be suprized..cha msingi hapa ni mechi ya marudiano simba icheze mpira ishinde mechi habari za droodroo sjui hizo hazipo...na wale mechi ya siku ile walicheza wa uoga sana sasa kwa uoga ule wakija kwa mkapa pale ni kazikazi mpaka wapoteane...hatuwadharau ni timu nzuri but hakuna namna vita ni vita lazima tutafute ushindi..tucheze kwa confidence na umakini mkubwa mpaka wapoteane
Mkuu ukishidwa kujiamini kwako utajiamini wapi?..Huo ndio wasiwasi mkubwa. Simba tumejenga kujiamini kupita kiasi bila kuweka tahadhari kua tunacheza na mabingwa wa nchi nyingine
Paragrph ipi hapo katika thred yake ameandika ya bila kufungana? Mnakimbilia kuwaza kichwani kabla ya kusoma kilichoandikwa?Write your reply...Eti Yanga akitoka suluhu ya bila kufungana anafuzu? Hiyo sheria ya wapi ndugu yangu au unaleta mzaha humu?
Hakuna mahala ameandika Yanga wakitoa sare ya bila kufunganaHuenda hajui mpira mkuu, hajui kuwa Vyura wanalazimika jua liwake au lisiwake ni lazima wafunge goli ndio wapite na hapo itategemea na FT results.
.
Simba hapa lazima ashinde wale watoto wadogo sana
Mbona hakuna mahala alipoandika hivyo?. Soma vizuri tenaYanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
[emoji12]
Unafikiri watu wote ni wajinga waliompopoa? Kaedit hapo alipoweka sare ya 2-2 mwanzo alisema Yanga wakitoka sare ya kutokufungana wanapitaHakuna mahala ameandika Yanga wakitoa sare ya bila kufungana
Sio machinjioni kwa mkapaMashabiki wa Mikia mnapenda maneno sukari tu. Mutafakari na hili pia sababu linaweza likawezekana pia. Lol.
Hahaha Mimi nama shaka umempenyezea mlungula ses.Hakika Ses. Japo wale shabiki mandazi kama Shadeeya hawatakuelewa hata kidogo. Wataona umenunuliwa. π
Sikatai Mtani ila sidhani kama itakuwa hivyo siku zote. Na ndio maana imekuja tahadhari Mtani. πππSio machinjioni kwa mkapa
Hahahaaaa! Lol.Hahaha Mimi nama shaka umempenyezea mlungula ses.
Sevilla mwenyewe aliponea kwenye tundu la sindano.pale si mahara pazuri mnyama huwa anacheza kama kajeruhiwa na kifaru.Sikatai Mtani ila sidhani kama itakuwa hivyo siku zote. Na ndio maana imekuja tahadhari Mtani. πππ