We jamaa vp. Ulikua unaleta hoja au umeleta kubishana?Kuna wakati kama kweli tunazipenda timu zetu inabidi tuwaambie ukweli. Simba hii timu waliidharau na wamejiamini kupita kiasi. Wanaingia uwanjani kwa kucheza na historia
Waamke wachukulie mambo seriously
Ingekua vyema ungetulia usikilize hoja za wenzako.
Kwanza umejichanganya Kwenye hoja yako, tunashukru umekiri hili.
Pili unavyosema Simba wamezadharau hii mechi ulitaka washambilie ugenini bila kujilinda?
Mwisho tafuta maneno ya kocha wa Simba baada ya mechi.
Ni kweli mechi itakua ngumu ka zilivyomechi nyingine, kwa nini uwe na hofu wakati unaenda vitani afu adui anakuja Kwenye ngome yako.
Twende uwanjani tukawatie Moyo wapiganaji wetu ushindi upo mikononi mwetu.
"Simba Nguvu moja"