Hahahaha acha kuteseka boss tunakanyaga hadi semifinals sisi ni Simba πͺ.Watoto wadogo kwa kigezo gani lazima uwafunge , kuwafunga ni baada ya dk 90 umetengulia goli moja mbele , tuache kujipa matumaini makubwa huu ni mpira unamaajabu yake.
Nimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu
Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana AS SONGO ya Msumbiji
Ndugu zangu sare ya bilakufungana ugenini ni hatari sana. Unatembea kwenye uzi mwembaamba sana baina ya kusongambele na kutupwa nje ya mashindano.
Hapo hakuna alternative kwa Simba zaidi ya ushindi. Afadhali ile sare waliotoka watani zetu wa Jangwani na Township Rollers, sare ya bao moja kwa moja. Kama Yanga wakikaza ugenini wakatoka angalau sare ya bao mbili kwa mbili au zaidi wanafuzu kwa raundi inayofuata
Msimbazi akitoa sare ya magoli ya aina yoyote anaaga mashindano, suluhu ya bilabila ni changamoto ya mikwaju ya penati ambayo sikuzote haina mwenyewe!
Tuliidharau timu hii ya Mozambique lakini siku zote Msumbiji hua inatusumbua sana iwe kwa ngazi ya vilabu na hata timu ya Taifa. Wana style yao ya kufunga goli dakika tano za mwanzo na likang'ang'ania hadi mpira unaisha
Natoa wito kwa viongozi na hasa benchi la ufundi wasiwachukulie poa hawa jamaa
Waache kabisa tabia yao ya kufanya majaribio ya wachezaji na aina ya uchezaji, tabia ambayo kocha wetu Patric anayo sana. Waweke kikosi cha kazi isitukute aibu tukakosa pa kuweka sura zetu
Sisi mashabiki panapo majaaliwa tutakuwepo uwanja wa Taifa kutoa sapoti inayohitajika kama kawaida yetu
SIMBA NGUVU MOJA
WALE WATOTO WADOGO SANA.Huenda hajui mpira mkuu, hajui kuwa Vyura wanalazimika jua liwake au lisiwake ni lazima wafunge goli ndio wapite na hapo itategemea na FT results.
.
Simba hapa lazima ashinde wale watoto wadogo sana
Maneno yalituzidi aiseeh,Mimi mwana Simba na huu Uzi niliusoma nikajua Kuna madini humu,wakutake radhi waliokutukana
Niliyaona haya mkuu, siku nyingiMimi mwana Simba na huu Uzi niliusoma nikajua Kuna madini humu,wakutake radhi waliokutukana
Dah! Nimeumia sana kiongoziManeno yalituzidi aiseeh,
Hamna namna tukomae tu na ligi sasa
NiacheeeeWALE WATOTO WADOGO SANA.
Tuko wote dada mpendwa, Kilichonisikitisha na hiki sisemi kwa unafiki huku kwenye bandaNipo nawacheki tu wale waliokuzodoa kwenye huu uzi. πππ
Tumeumia ni wengi sanaaaDah! Nimeumia sana kiongozi
Hao waliozimia wamwagie maji wazinduke. πππTuko wote dada mpendwa, Kilichonisikitisha na hiki sisemi kwa unafiki huku kwenye banda
umiza kuna wa 3 wamezimia, mmoja amekimbizwa hospitali hawa wawili naona wako vizuri
sasa.
Mambo ya mpira haya,,WALE WATOTO WADOGO SANA.
VP watoto wanasemajeHuenda hajui mpira mkuu, hajui kuwa Vyura wanalazimika jua liwake au lisiwake ni lazima wafunge goli ndio wapite na hapo itategemea na FT results.
.
Simba hapa lazima ashinde wale watoto wadogo sana
Teteteeeh,.. Maisha ukiyakariri yatakupa stress sana,.. Hivi Manara amewalisha nn na hizi Imani zenu kwenye soka? Hivi mnaujua mpira nyie au vipi... Ujifunze kwa haya matokeo, uache umbumbumbu na ushabiki maandazi...Usiwe zuzu mkuu!,simba haijawai kumuacha salama timu yoyote iliyocheza nae Kwa mkapa