Hata kwenye ligi simba haitakuwa ya kutisha sana kama inavyodhaniwa kwanza kuna uwezekano wakamfukuza kochaKuna wakati kama kweli tunazipenda timu zetu inabidi tuwaambie ukweli. Simba hii timu waliidharau na wamejiamini kupita kiasi. Wanaingia uwanjani kwa kucheza na historia
Waamke wachukulie mambo seriously
Hata sijafungua aiseeh
Naona uvivu
Pole sana mkuu, wamakonde Si watu wazuriSevilla mwenyewe aliponea kwenye tundu la sindano.pale si mahara pazuri mnyama huwa anacheza kama kajeruhiwa na kifaru.
ngoja tusibiri mtani!
Ila Sijui zahera atatuambia nini sisi wananchi
ivi bado wajihesabu unaujua mpirampira hujui wewe.. yanga ndio ana hali mbaya
Ha ha haaaacha uduwanzi boya wewe..... yani makirikiri kwao yanga anakula nne kama msimu uleee...... na simba mechi ya dar lazima ashinde.
[emoji13][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hayo maneno kwa Kireno kwa tafsiri yake ndo nini?!Niache na wewe Nyiri moko mane heroga ngato makata ionge pesa ka ne gi thoo tee
Maisha lazima yaendelee Mkuu!Sijui mtaweka wapi sura zenu.
Dah ... Wabongo bhanampira hujui wewe.. yanga ndio ana hali mbaya
Wabongo shida sana sasa nimeaminiPaka kweli ww hujui mpira na nnamashaka na ushabiki wako kwa mnyama
Walimtukana mleta mada [emoji23]Dah ... Wabongo bhana
Simba walkua wanasema hata barcelona akija taifa hachomokiManeno yalituzidi aiseeh,
Hamna namna tukomae tu na ligi sasa
[emoji28][emoji28][emoji28]Tuko wote dada mpendwa, Kilichonisikitisha na hiki sisemi kwa unafiki huku kwenye banda
umiza kuna wa 3 wamezimia, mmoja amekimbizwa hospitali hawa wawili naona wako vizuri
sasa.
Walimtukana mleta mada [emoji23]
Nimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu
Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana AS SONGO ya Msumbiji
Ndugu zangu sare ya bilakufungana ugenini ni hatari sana. Unatembea kwenye uzi mwembaamba sana baina ya kusongambele na kutupwa nje ya mashindano.
Hapo hakuna alternative kwa Simba zaidi ya ushindi. Afadhali ile sare waliotoka watani zetu wa Jangwani na Township Rollers, sare ya bao moja kwa moja. Kama Yanga wakikaza ugenini wakatoka angalau sare ya bao mbili kwa mbili au zaidi wanafuzu kwa raundi inayofuata
Msimbazi akitoa sare ya magoli ya aina yoyote anaaga mashindano, suluhu ya bilabila ni changamoto ya mikwaju ya penati ambayo sikuzote haina mwenyewe!
Tuliidharau timu hii ya Mozambique lakini siku zote Msumbiji hua inatusumbua sana iwe kwa ngazi ya vilabu na hata timu ya Taifa. Wana style yao ya kufunga goli dakika tano za mwanzo na likang'ang'ania hadi mpira unaisha
Natoa wito kwa viongozi na hasa benchi la ufundi wasiwachukulie poa hawa jamaa
Waache kabisa tabia yao ya kufanya majaribio ya wachezaji na aina ya uchezaji, tabia ambayo kocha wetu Patric anayo sana. Waweke kikosi cha kazi isitukute aibu tukakosa pa kuweka sura zetu
Sisi mashabiki panapo majaaliwa tutakuwepo uwanja wa Taifa kutoa sapoti inayohitajika kama kawaida yetu
SIMBA NGUVU MOJA
Hope leo umemuelewa sasa,maana Simba kule alitoka suluhu bila bila,leo katoka suluhu ya moja moja na kangaWrite your reply...Eti Yanga akitoka suluhu ya bila kufungana anafuzu? Hiyo sheria ya wapi ndugu yangu au unaleta mzaha humu?