OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura tumchague mchezaji bora wa wiki kati ya Chama au Kanoute
My Take
1. Tunakuomba ingia twiter kumpigia kura umtakaye kati ya Chama na Putin
2.Kujilinganisha na Simba Sc ni kujitia stress tu. Haya mchezaji wa game ndogo ndiyo huyo hapo kwa mara ya pili.
Huo muda unaotumia kuichambua Simba vibaya bora ungetumia kuchambua tembele