OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hiyo hapokwenye listi wapo wangapi?
Kuja wapuuzi wa jangwani wanakwambia kuwa magoli ya simba yalikuwa ya dondokelaPia wachezaji 4 wa Simba wameingia katika kikosi bora cha wiki Chama, Kapombe, Kanoute na Baleke. Pia magoli 2 ya Simba yapo kwenye magoli 5 bora ya wiki.
Kumuacha Kapombe kwenye timu ya taifa ni uhujumu uchumi.
View attachment 2560909
Waache tupimane makali kidogo kidogo.Kuja wapuuzi wa jangwani wanakwambia kuwa magoli ya simba yalikuwa ya dondokela
Tatizo tunashindwa tumpigie yupi Kati ya chama na na kanaouteHii vote itakuwa ngumu kwa Simba labda Ahmed Ally alisimamie kuongeza ushiriki. Misri wako active sana kwenye social media, waliangusha hadi serikali yao kwa kutumia social media tu. Ingekuwa Instagram kidogo tupo wengi ila tupambane hata huko Twitter.
Na naona wamepindua meza huko, mtu wao anaongoza.
Kwani Dada Barbara si yupo CAF? Na yule admin wetu wa CAF si kijana wetu wa Msimbazi?Hii vote itakuwa ngumu kwa Simba labda Ahmed Ally alisimamie kuongeza ushiriki. Misri wako active sana kwenye social media, waliangusha hadi serikali yao kwa kutumia social media tu. Ingekuwa Instagram kidogo tupo wengi ila tupambane hata huko Twitter.
Na naona wamepindua meza huko, mtu wao anaongoza.
Unadhani Tume ya Mahera au Jecha hii?Kwani Dada Barbara si yupo CAF? Na yule admin wetu wa CAF si kijana wetu wa Msimbazi?
Uto wamekusanyana kumpigia kura karhaba na mwiko wao wa jezi nyekundu 🤣Hii vote itakuwa ngumu kwa Simba labda Ahmed Ally alisimamie kuongeza ushiriki. Misri wako active sana kwenye social media, waliangusha hadi serikali yao kwa kutumia social media tu. Ingekuwa Instagram kidogo tupo wengi ila tupambane hata huko Twitter.
Na naona wamepindua meza huko, mtu wao anaongoza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani Tume ya Mahera au Jecha hii?
Inawezekana maana nchi ngumu sana hii 🤣😂🤣Uto wamekusanyana kumpigia kura karhaba na mwiko wao wa jezi nyekundu 🤣