Chama na Mayele wanavyoviendesha vilabu vya Simba na Yanga

Afisa Tabibu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
511
Reaction score
848
Kuna movies zinaendelea huko kwa mapacha wa kariakoo..

Za ndani kbs Simba walianza kuonesha umafia kwa kumrushia tonge nono la ugali Fiston, baada ya Eng kugundua nayeye akaamua kumtumia Mh Mbunge kutupa karata kwa Clotous, sasa hawa mapacha wapo juu juu..

Yanga hawataki Mayele atoke lakn wanamtaka Clotous, Simba nao hawataki Clotous aondoke na wanamtaka Fiston.

Unaambiwa vilabu hiv vimeacha kuconcetrate na preseason na matamasha yao ya siku ya mwananchi na Simba day, wamejikita kweny hivi vita.

Anyway.. ngoja nimalizie kuzoa maharage hapa bahat mbaya boda ameyamwaga..
 
Bangi unayovuta acha inakudhuru, Mayele ameuzwa kwa Pyramids ya Egypt kwa Billion 2.8.
 
Labda huyo Mayele..kwa usajili huu wa Simba huyo Chama aende kokote kule...hata yeye mwenyewe kuna kitu amekiona ndio maana atatafuta mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…