katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
.Cha kilichokaa kwa kishindo kabla na baada ya uhuru ni hiki chama wa leo hakitetereki .
Hakina mpinzani ni cha kitaifa,kimataifa na kipenda chama cha mapinduzi.
''Tumeipenda wenyewe''
''Chaguo letu milele''
"Wanune wapasuke"
''Acha waisome namba eeh''
''Isombe namba ''
"Ccm mbele kwa mbele"
Ccm ipo juu sana kama Mnazi .
CCM HOYEEEE,CCM HOYEE
WARURA WAKACHA UPO MAMY NIPO .
Huyu dj yupo vizuri Sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kumbe unamfahamu vizuri huyu dada huyu dada unaweza kumwambia aandike kwa mistari 3 tu Kama akipatia kuandika kwa usahihi utampa laki5 utakuja kushangaa hela yako inarudi kwako.Hivi katoto ni mada gani sasa unaweza kuandika vizuri ukaeleweka[emoji1745][emoji1745][emoji134]
Yaani acha tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe unamfahamu vizuri huyu dada huyu dada unaweza kumwambia aandike kwa mistari 3 tu Kama akipatia kuandika kwa usahihi utampa laki5 utakuja kushangaa hela yako inarudi kwako.