Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Sorry... headline isomeke hivi
Chama cha chadema kuongoza Tanzania labda mkazikiri uchi sio kwa ujinga mnaoufanyaga
..
📌 Nishawai kufanya kampeni za mbunge fulani (Wilaya ya muleba) Toka Chadema kelele zilikuwa nyingi na ushindi ulikuwa mkononi kabisa chadema kuchukua kiti cha ubunge jimbo Muleba kusini (Anna Tibaijuka)
..... akupiga kampeni zaidi ya kuwapa zawadi wanamama na n.k
Ila chadema kila siku kuomba kura.... mwisho wa siku Mbunge akauza kura ) na kukimbilia uganda mwisho wa siku nikawa na hoji vipi mh. Kwanza nikala block ya maana nikasema any siku chadema ikachukua kiti nitakuwa mzee sana 😁
Chadema njaa ndo inayowasumbua hamna hata nia njema na wananchi nimeshuhudia mengi sana(○Siasa mchezo mchafu)
Kwasasa siasa nimeweka pembeni niko bize na kesho yangu.... ila sitetei chama chochote mimi. Chama changu ni kazi yangu na pesa yangu inayonifanya napata ninachokihitaji.
Hivo....