Chama tawala cha Jubilee wasema wako tayari kushirikiana na ODM ya Raila Odinga

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Chama tawala nchini Kenya cha Jubilee, kimesema kiko tayari kuunda serikali ya umoja wa kitaifa pamoja na chama ODM cha Raila Odinga kuelekea uchaguzi mkuu wa 2022. Kiongozi wa walio wengi katika bunge la Kenya Aden Duale amesema bungeni kuwa chama cha Rais Kenyatta kiko tayari kushirikiana na chama cha Odinga, kwa sharti kwamba kinachukuwa nafasi nyingine lakini siyo ya Rais.

 
Safi sana.
Ni hatua njema sana kwa demokrasia ya Taifa lao.

Jirani yao wanayepakana naye upande wa Kusini naye angeiga hii.
 
SAFI sana.
Lkn wa reinstate yaliyoharibika. Kama waliopata ulemavu, waliokuwa, mali zilizoharibika etc
 
Mipango mizuri kwani mustakabali wa taifa la Kenya kwa sasa ulikuwa katika mikono ya viongozi wa vyama hivi viwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…